Wednesday 10 February 2010

UNYANYAPAA

Jamii imeshauriwa kuachana na kuwanyooshea vidole pamoja na kuwanyanyapaa watu wanaoishi na virusi vya ukimwi.

Hayo yameelezwa jana na watu wanaoishi na virusi vinavyosababisha ukimwi katika wilaya ya kaskazini A" wakati walipokutana kujadili mambo mbali mbali yanayowahusu.

Aidha walisema kuwa kumekuwa na muono mdogo juuu ya ufahamu wa kuwatambua watu waaoishi na virusi vya ukimwi katika wilaya hiyo kwani imekuwa ni kosa kwa mtu kujitangaza hadharani kuwa anaishi na viruci vya ukimwi.na kuongeza kuwa kutokana na hali hiyo ukimwi utasambaa kwa kasi kubwa.

No comments:

Post a Comment